Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kamati maalumu ya bunge
Hahahaha du hatariHAHAHA... Mkuu namimi nitapandisha yangu ili tugegedane kimajini majini...
Lete mrejesho. Uliona nini?Mimi niliwahi kupiga cha tarime[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo mambo si mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji weweeeeeee !!!
Cc Cole's world ...
Mapenzi kizunguzungu[emoji23][emoji23]Unakumbuka ile sitiari ya swimming pool? Ogelea kwa sasa. Furahia. Nami wakati wangu wa kuogelea utafika. Nitafurahia pia....and guess what? Iveni yua fyucha waifu sasa hivi kuna mtu anaogelea. Na wakati wako ukifika wa kuogelea utaogelea na bila shaka utafurahia...and so it goes. Kwema lakini dogo?
Kuna jamaa yuko humu aligundua id ya bosi wake mkono sana kazini basi kila siku akawa anamtandika povu la kufa mtu. Ikafika mahali bosi analog in JF jamaa naye analog in na kuanza kumpa makavu. Bosi naye (mtu mzima kabisa 65+) akawa anajibu mapovu kwa mapovu mpaka wote wakalimwa ban...Hiyo ndiyo JF yenye watu wa haiba mbalimbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu Unakuta Baba yangu nayeye yumo humu anacheza michezo Ya kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Atie Likes nimtie likes Ubaba mwisho Nyumbani jf kila mtu mkuu
Presha wapi,ndo ukweli huo[emoji12][emoji12]Presha hizi bro acha Tu
HujamboNipo