Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachina nao duh! Pembe za faru wamezigeuza milonge, meno ya tembo sijui yanaleta bahati na yana sifa za milonge pia, supu ya mapezi ya papa nayo yanawasisimua, sasa hata ngozi za punda nazo? Karibu kila kiumbe ama wanakifakamia au wana matumizi nacho. Na wako mabilioni. Twafwaaa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…