mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pamoja mkuu hakuna ShidaKaka majukumu tu ndio yamekuwa mengi
Pamoja mkuu hakuna ShidaKaka majukumu tu ndio yamekuwa mengi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wacha weeeSio kama siwezi bila we No
Naweza kukaa peke yangu ila tatizo roho.
Roho inaniambia niwe nawe
Wanakamsemo money talksMimi mzima kabisa Shemeji. Wadada wa siku hizi balaa kwanza hawachagui mzee wala kijana
Kama kawaida mkuuNaona mnasongesha uzi tu
@Jembekilio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu weweKwa wazee tunafuata hela ya pension,vijana show[emoji23][emoji23]
Shwariiiii,full mzuka kama tatu mzuka vile[emoji6][emoji6]Tunasema ni mzuka wa kufa kwako.
Niambie
Pia sisi miss wewe balaa
Pamoja mkuuBabe s, Carba, Numbisa, Isis, Nsamaka, Jakitoo, Quigley, myoyambendi, Cole, Andjul, Ho chi minh, KK - Jembekillo, Mzee wa Liver, GeJo, Ruta, Moudgulf, Shimba ya Buyenze
Kama hakutakuwa na figisu figisu, huyu ndiye rais ajaye KenyaRaila Amollo Odinga
Kumbe we umenizidi lol[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mi nimetelekezwa karibu wiki sasa na sijatishia talaka? Kuvumiliana muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KaYego kapo madarasani bila shaka. Subiri kakijitokeza hapa. Mzigo wa maua utakuwa siyo wa kawaida...