Pia unapojizoesha kutumia madawa mara kwa mara kuna baadhi ya vimelea ndani ya mwili huwa na tabia ya kuzoea dawa na kuifanya dawa kutoleta madhara kwa vimelea hivyo.
Endapo utatumia madawa mara kwa mara bila vipimo vya daktari na kuvifanya vimelea hivi kuizoea dawa itakua ni vigumu kwako kuutibu ugonjwa huo na kusababisha kuwa sugu.