myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hiyo nimekusambazia ahahhWewe mwenyewe hatuzioni likes zako[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23] hahah! ngoja nihifadhi maneno mpaka atakapofikaTunaangalia uwezekano wa kumtumia Nissan nyeupe ili angalau tupate kulonga nawe. Khaaa mtu gani kila unapoenda naye kafika!!!!?
hahah! Umeshayajua nini!??...
sambaza kwa posti sio uchague..Hiyo nimekusambazia ahahh
[emoji16][emoji16] siri ya wawili!??Ya siri[emoji3] [emoji3] [emoji3]
nimefumba macho na kuziba masikio..hahah! Umeshayajua nini!??...
Hahaha! Ye amwage tu hapa...kumbe hata hammsikii..nimefumba macho na kuziba masikio..
Hahah! Uniq......moudgulf anakuita naona...Uniq unafanya kosa LA kiufundi kumfatilia na kumlinda mrembo babeS. Muamini ili ajiamini. Mpe uhuru wake angalau aje jukwaani akiwa huru. Vinginevyo Nissan nyeupe inakuhusu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakika!!sisi tunaenda mbele kwa furaha na uzi wetu