KaribuForex mkuu nakucheki pm
KaribuForex mkuu nakucheki pm
Uniq....Mimi mzima nimefurahi kukuona maana umekuwa adimu sana humu ndani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] anatega mingo ili aone kinachoendeleaamekuja kuvizia..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]wewe vizia hapo..
Kilomita 8 nyingi,kimeunguaTafadhali sana, nipo umbali wa kmt 8 toka kilipo lakini wala sijui kinachoendelea
Mfikishie huo ujumbe mwambie kuoa mke mzuri ni kijitafutia matatizo buree[emoji3] [emoji3] [emoji3] imefika mahali heri nitumie mbinu za medani ili nikupapachue mikononi mwake[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23] hahah! ngoja nihifadhi maneno mpaka atakapofika
Siri yangu na yako tu[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji16][emoji16] siri ya wawili!??
nimefumba macho na kuziba masikio..
Sijui ntapewa like na mimi, daah.[emoji15][emoji15]
Naona tunapokea wageni wengi hapauzi umetiwa 'mbolea ya kukuzia...
Ni zaidi ya jaza ujazwe..
Tukachimbe dawa kwanza
I may look happy, but you have no idea what's happening inside me.
If your life is complicated, make it simple. If your life is simple, don't make it complicated.
The moment you stop accepting challenges, is the moment you stop moving forward.
Hahahah anakuja amesema! ........kunipapachua itakua ngumu sana..Mfikishie huo ujumbe mwambie kuoa mke mzuri ni kijitafutia matatizo buree[emoji3] [emoji3] [emoji3] imefika mahali heri nitumie mbinu za medani ili nikupapachue mikononi mwake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16] nimeiogopa hiyo...Siri yangu na yako tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitayamwaga tulia, wao wanawzaga likes tu. Sema kuna dada mkuu wa kitengo cha ushilawadu, ananusa kwelikweliHahaha! Ye amwage tu hapa...kumbe hata hammsikii..