Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa yuko humu aligundua id ya bosi wake mkono sana kazini basi kila siku akawa anamtandika povu la kufa mtu. Ikafika mahali bosi analog in JF jamaa naye analog in na kuanza kumpa makavu. Bosi naye (mtu mzima kabisa 65+) akawa anajibu mapovu kwa mapovu mpaka wote wakalimwa ban...Hiyo ndiyo JF yenye watu wa haiba mbalimbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari
 
Back
Top Bottom