Wacha timu mondi Waje wakujibuAlikiba ana kipaji bwana daah hapa nasikiliza kiwimbo cha zamani daah
Macmuga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyote vinavyofichwa[emoji12][emoji12]
Sijawahi kuvuta sigara kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaijua sigara kali??[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanga kama kawa pweza wa kutosha jwa wale wasio jiweza. Na wengine ndio tuna shuka Deepsea kuchukua samakiHabari za mchana huu Tanga
HahahhahaahMali ya CHAWAMITA hiyo mkuu. Hata kuguna tu itabidi ulipie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA18:25
Tatatibu MoudKaribu, siku hizi unapatikana Mara chache hapa!!
Narudia Tia adabu kwa shemeji yakoNikikuona moyo huwa unapoa[emoji3] [emoji3]
Muambie aache ubahau[emoji16][emoji16] kupoa moyo unajua ni hatari kwa afya.............