babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Asante...ndo narudirudi km hiviKaribu, siku hizi unapatikana Mara chache hapa!!
Asante...ndo narudirudi km hiviKaribu, siku hizi unapatikana Mara chache hapa!!
Huku kwema kbs....sijui huko uliko!!!?Safi sana, vipi kwema utokako?
Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Shangazi maliza ngazi,
Swaiba geukia mbele,
Kaka hapo shika upande wa pili,
Mdogo wangu mpishe Ma Mkwe akae.
Subiri Shemeji yako apande…
Duh… makonda noma…!!
[emoji16][emoji16] kupoa moyo unajua ni hatari kwa afya.............Nikikuona moyo huwa unapoa[emoji3] [emoji3]
Mbona like zimepotea humu.
Haahahah! Hii habari mpya...
Aisee hii speed ya humu kama 5G uzi unakimbia saaaana ila sio mbaya hapa like Tuuuu kuLa kwenuuu
Yapmarafiki wapo hapa
Naombeni na Mimi likes
[emoji4][emoji3][emoji2]Mtoe Babe S maana sio single na mtoto nimemkuza mwenyewe.
Karibu sananimekuja kuwajulia hali ndugu wanaukoo
Upo kama kawaidaUtawala wa likes