Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali hizi hutofautina kati ya mtu na mtu, mfano kuna wengine ambao wakitumia vitu kama maziwa mwili huisi kama kitu kigeni na kupata matatizo kama kutokwa na vipele mwilini na pia kuna baadhi ya watu ambao wakitumia hayohayo maziwa hupata matatizo kama kuharisha.
 
Kwa kujua hivyo ningependa pia kuwajulisha baadhi ya vitu ambavyo mara nyingi watu wakivitumia huweza kuwasababishia kupata hali ya mzio (allergy). Ili kusudi iwe rahisi kwako kugundua endapo hali kama hizo ziliztajwa hapo awali kwa inaweza kuwa ni tatizo la mzio.
 
Ili endapo utagundua, unaweza kufatilia mwenyewe ni aina gani ya chakula umetumia ambayo inakuletea hali isyokua nzuri na kuacha kabisa kutumia.

Vitu hivi ni vile ambavyo vimeonekana kuleta matatizoya mzio kwa watu katika jamii.
 
Vitu hivi ni kama

1. Vyakula: maziwa, karanga, samaki, ngano, soya.

2. Madawa: penicillin, madawa yenye salfa, baadhi ya madawa ya shinikizo la damu, baadhi ya chanjo.

3. Sumu za wadudu: wadudu kama nyigu, tandu, nyuki au ng’e.
 
729cb2519c1d35d512db0b693b16d8b6.jpg
Cc:mwenyekiti na katibu wa CHAWAMITA
 
Unapoona unapata hali ya tofauti kama ilivyoelezwa hapo awali na ukaona vitu kama hivi uwenda katika kula au vipo vinakuzunguka katika mazingira yako jaribu kuvipuka, na kama hali yako inazidi kuwa mbaya baada ya kuhakikisha umeviepuka vitu hivi tafadhali wahi kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi.
 
Back
Top Bottom