carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Akinywa akishiba akaongee vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chaumbea mpe chai ya bakuri...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Moud wewe
Akinywa akishiba akaongee vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chaumbea mpe chai ya bakuri...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
he! nilijua ni wewe jirani...Cc:mwenyekiti na katibu wa CHAWAMITA
😀😀😀😀Napenda kutuma salam kwa mamangu, Bi Kijape Mdogopole, Napenda kutuma salam kwa shemeji yangu, Asha....Napenda kutuma salam kwa mangi muuza duka pale rangi tatu....Asanteni
Weeee ushindwe[emoji23][emoji23][emoji23]Salaam kwako Andjul, huko uliko ubaki huko huko mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha kabisa,maeneo ninayokaa kuna majirani kama wa3 hivi,mmoja anafuga kuku,mwingine ng'ombe harufu yake ukikatiza mtaani sasa kama uko zizini[emoji47][emoji47][emoji47]Si afadhali hata hao paka, utata ni nguruwe, ng'ombe na mbuzi. watu wanaofuga wanyama hao maeneo ya mijini na hasa kwenye makazi yao, huwa nawaona kama viumbe toka sayari za mbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . yani zile harufu na uchafu wao daaa. Pole zao/ hongera zao pia
Jiamini mwanaume[emoji12][emoji12]Kijana ni muoga, anaogopa ushilawadu wako
Yaani wewe[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hata sitaki
Kac umerudi?mkuu naona kasi yako inaridhisha
vuna likes
Unajua nimekupotea na hii avatar?ATHARI ZA MAGONJWA YA ZINAA
Magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoambukizwa hasa kwa kujamiiana. Magonjwa haya hayana lika wala jinsia yana weza kumwathiri mtu yeyote mwenye kuweza kujamiana na mtu ambaye amekwisha ambukizwa magonjwa hayo.
Kuna jamaa nipo nae ananiuliza mbona Unatabasamu sababu niwewe nilivyo ona hii reply yako sasa nashindwa nimwambiaje anielewe.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hata sitaki
Mja atakapohisi sakaraatul maut na kukaribia mwisho wake katika maisha haya ya dunia basi na ahudhurishe katika moyo wake hisia hizo na aelekee kwa Mola wake akiwa na mapenzi na khofu kwake na akithirishe kauli ya ‘Laa ilaha illa llah’ ili ahitimishe itikadi yake kwa kauli hiyo ya Tawhid.Translation?
Hahaa jirani si ningeringahe! nilijua ni wewe jirani...
MimiYaani wewe
Hiyo hapo 😛mbona sipati like sasa
nimekuja kuwajulia hali ndugu wanaukooKac umerudi?
Na mimi ndugu zangu nina njaa za like😀😀😀😀😀