Mimi hapa 😛Nimesambaza upendo vya kutosha.... ambae hajapata Like yangu anyoshe kidole juu[emoji137]
😀😀😀😱😀😀😱😱😱Nimepata dawa ya utajiri,,mashart yake mepesiii,,umatakiwa usiguse tu sufuria yenye masinzi,na kwa mwanaume usikae kwenye kigoda cha jikoni,,napatikana dar mwenye kuhitaji gharama yake 1000 tu bhas. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ndiyooo 😡cha ajabu kuna watu hawajapata like mpaka saivi
Sawa😛😛Na mimi msinisahau kwenye safina yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi nasubir like 😎Hahaha dah JF kila mtu Ana pambana na yake
Huku likes sasa
Sina lolote nataka likes tu [emoji12] [emoji12]
Chukua 😛Sasa mbona hamnipi hizo like na mimi
Si afadhali hata hao paka, utata ni nguruwe, ng'ombe na mbuzi. watu wanaofuga wanyama hao maeneo ya mijini na hasa kwenye makazi yao, huwa nawaona kama viumbe toka sayari za mbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . yani zile harufu na uchafu wao daaa. Pole zao/ hongera zao piaMe mwenyewe siwezi kwanza siwapendi,paka nina allergy na manyoya yao...
Wanaofuga wanamoyo
Kijana ni muoga, anaogopa ushilawadu wakoKwani mzee wa tukuyu nilimuita?
Hamjiamini nyie[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Uzi ni sawa na nyavu ya jarife. Inavua samaki, wanyama wa majini na uchafu wa kila namna[emoji3] [emoji3]Huu uzi sijui ni makande[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kila kitu humu