Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c28ee61d1939335c7d9214c2916243a4.jpg
Hahaha kuna nini huko anakolenga ?
 
Jf watu wachoyo Sana wa like utazani wanalipia nimetembelea thread nying Sana ukikuta mtu analike nyingi basi ni Tano tena za kuhesabu..... Hadi nilizan kuna condition aitakiwi zizidi Tano Kumbe ni uchoyo nimejaribu kwenye thred ya the bold ikakubali.... Cheki hapa kuanzia juu kama kuna watu 3 wenye like zaid YA 5 mod nipen ban YA wiki
Haya mkuu nimekupa ya sita
 
Back
Top Bottom