thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,884
Mbona Uzi unakimbia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hairuhusiwi kusalimia jiraniUnafanya nini huku? Au bitoz anawabana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikatoe ID yangu nyingine gereji ije ilambishwe likes
heheheh me niko shamba tayari na babu yangu muwindajiNakutafuta siku nyingi twende shamba
Chunga braza utaliwa kweliLiwa uliwe[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaLIKES za Leo hazjawah kumuacha mtu salama
oooooohMe mwenyewe bashite au huoni jina(daud)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anawinda mijusi[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Unakaba hadi penati. Tuachie na sisi tujidai ukuKwani hairuhusiwi kusalimia jirani
Hivi kumbe uzi wa makapuku ndo kuna pumba kiasi hiki??Ahaaa mie member wa Kapuku usiturestishe basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40]We mleta huzi nyoko itakuwa umeuandikia chooni
Unataka likes tu huna lolote weweHumu wengi ni wanafunzi maana shule zimefungwa.
Na kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu.LIKES za Leo hazjawah kumuacha mtu salama
Kuna hatari ya mods kufuta huu uzi maana members wa majukwaa yote watahamia huku.LIKES za Leo hazjawah kumuacha mtu salama
nimekupa na yanguNilijua utani kumbe wadau wanamwaga ma-likes