Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jifunze Juu ya Mitazamo Tofauti

Unatakiwa kufahamu kuwa kila jambo linaweza kuangaliwa na kuonekana tofauti kulingana na jinsi unavyoliangalia na nafasi uliyosimama wakati wa kuliangalia.

Mfano Kama unafikiri “kufanya kazi jumapili ni uovu” kama muumini dini fulani mwingine anawezakuona kuwa “kufanya kazi jumapili ni sawa ila kufanya kazi jumamosi ni uovu”

Unaona unachoona kulingana na pale uliposimama. Ukitambua hili utabadili tabia yako ya kuhukumu vibaya wengine na kuona mambo kutoka pale walipo.
 
Kuwa na Fikra Huru

Hii ina maanisha kuwa uwe mtu ambaye unaruhusu mambo mapya na tofauti katika fikra zako na kukubaliana nayo. Kuwa na misimamo isiyoruhusu kuangalia uwepo wa vinghine ni hatari na inachangia kuwa mhukumu. Kubaliana na hali kuwa kuna elimu na fikra tofauti na zako.
 
Panua Ufahamu na Ongeza Elimu Juu ya Maisha

Elimu zaidi juu ya watu na ulimwengu itakusaidia kubadili tabia zako.

Pata nafasi ya kufahamu watu wengi zaidi na kushirikiana nao hta kama wana mitazamo na imani tofauti na wewe. Jifunze kuishi na kushirikiana na watu tofauti na wewe kwa mafanikio.
 
Mmmh ufugaji wa paka mbwa siuwezi kwa kweli,huwa nikienda ugenini nikakuta paka wa kufungwa pozi linaniisha muda wowote nitaaga na kuondoka kurudi hapo ngumu sana
Ukiona dalili hizi kwa mbwa wako au kwa mbwa yoyote barabarani toa taarifa kwa afisa mifugo wa wilaya (veterinary officer) au kituo cha polisi kilicho jirani. Mbwa wenye dalili hizi wanatakiwa kuuawa kwa kuwa hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa rabies.


Haya wenye mbwa mkawachanje....
 
Back
Top Bottom