Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa nini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu daima?
Je, umewahi kujiuliza “Kwa nini ni uhusiano wetu una shida sana? Mambo yalikuwa mazuri sana tulipoanza,nini kimetokea? “
Jibu ni kwamba mnaweza mkawa mmetoka katika hatua moja na mko katika hatua nyingine ya mapenzi.