Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KICHAA CHA MBWA
Mbwa na paka ni wanyama wanaopendwa na kufugwa majumbani kwa sababu mbalimbali. Bila shaka umewahi, au huwa unapishana na mbwa au paka katika mitaa unayoishi au unayotembelea. Wakati mwingine wanyama hawa wanaweza kuwa wamebeba virusi hatari vinavyosababisha ugonjwa wa Rabies ambao umepewa jina la kichaa cha mbwa.
 
Back
Top Bottom