carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Tunajifungia kwa kuwa tuna dili la fwezwa,. vinginevyo wewe jirani tuachie uhuru tufanye yetu. Halafu yule mzee mpe maelekezo andelee kula vitunguu swaumu, asali, matikiti maji nk, yani kama ulivyotoa ushauri wako jana, akimaliza dose utujurishe
Subiri viako vya bunge viishe,akirudi hapa mtajuta namwambia yote