Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507056362671.jpg
 
Amen! Kuna siku ambazo mambo karibu yote yanakwenda kivingine. Nature yetu ni kulalamika lakini ukikaa na kutafakari vizuri unaona kwamba hata katika kuparaganyika huko kwa mambo, bado kuna mema mengi ya kushukuru na kujifunza.

[emoji117][emoji117][emoji117]Huku kwema kabisa shemeji. Baada ya tukio la jana kule Las Vegas, watu wananunua bunduki madukani kwa wingi ili wajilinde wakishambuliwa. Tatizo juu ya tatizo.
Kujilinda muhimu Sana mkuu
 
Back
Top Bottom