Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3f1c27f548fe061332545f40a160f7ae.jpg
 
Utafiti huu uliofanyika nchini Ghana unaunga mkono utafiti uliofanyika hivi karibuni nchini Australia unaojulikana kama Sydney Stillbirth Study ambao ulisema ya kwamba wanawake wanaolala chali wakati wa ujauzito wako kwenye hatari ya mara sita zaidi ya kuzaa watoto wafu.
 
Utafiti huu wa Australia ulifanyika kwa miaka mitano na ulihusisha wanawake wajawazito 295 kutoka katika hospitali nane nchini Australia. Naye mtafiti mkuu katika utafiti huu Dr. Adrienne Gordon, kutoka Sydney’s Royal Prince Alfred Hospital amesema “Tafiti za awali zilionyesha ya kwamba wanawake wanaolala chali wakati wa ujauzito, hupunguza mzunguko wa damu unaotakiwa kwenda kwa mtoto.Lakini pia ni vizuri kwa wanawake ambao ni wajawazito kutotaharuki kama wakati mwingine watalala chali.’’
 
Kutokana na idadi ndogo ya wanawake wajawazito waliohusishwa kwenye utafiti huu sisi wana Tanzmed tunachelea kusema ya kwamba ni vigumu kusema utafiti huu umetoa mapendekezo sahihi ya namna ya kulala kwa wanawake wajawazito.Pia kutokana na kutoangalia muda ambao wanawake hao walilala wakiwa chali (mfano kama walilala masaa 4,6 au 8 kwa siku na kwa siku ngapi) na tofauti ya hatari kati ya wanawake wajawazito waliolala muda mfupi na mrefu, hivyo tunawaambia wanawake wajawazito kutohofu kama watalala chali lakini ni bora kuchukua tahadhari mapema.Tafiti hii inatoa changamoto kwa watafiti wetu wa afya kuangalia jinsi ya kufanya tafiti kama hizi katika mazingira ya kwetu.
 
Ndio mana watakiwa kutumia vitu hivi kwa makini,sio unakurupuka tu
Tiba mbadala nayo ina changamoto zake. Ndiyo maana ukienda kwa daktari inabidi umweleze kila kitu ikiwemo vitamins, supplements na vitu vingine unavyotumia. Nasikia hata madawa mengi ya kutibu matatizo ya moyo yana reaction mbaya na baadhi ya vyakula/supplements.
 
Kutokana na idadi ndogo ya wanawake wajawazito waliohusishwa kwenye utafiti huu sisi wana Tanzmed tunachelea kusema ya kwamba ni vigumu kusema utafiti huu umetoa mapendekezo sahihi ya namna ya kulala kwa wanawake wajawazito.Pia kutokana na kutoangalia muda ambao wanawake hao walilala wakiwa chali (mfano kama walilala masaa 4,6 au 8 kwa siku na kwa siku ngapi) na tofauti ya hatari kati ya wanawake wajawazito waliolala muda mfupi na mrefu, hivyo tunawaambia wanawake wajawazito kutohofu kama watalala chali lakini ni bora kuchukua tahadhari mapema.Tafiti hii inatoa changamoto kwa watafiti wetu wa afya kuangalia jinsi ya kufanya tafiti kama hizi katika mazingira ya kwetu.
Sababu za wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa

Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Inasadikiwa kuwa, katika kila wanawake kumi, angalau wanne kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni wakati wa tendo.
 
SABABU ZA KIMWILI " PHYSICAL"

1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi )

2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism )
3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k )
4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari.

( Sababu zipo nyingi sana, hizi ni baadhi tu )
 
SABABU ZA KISAIKOLOJIA " PSYCHOLOGICAL "
Stress and overwork
Anxiety " Woga"
Kunyanyaswa kijinsia ama kubakwa wakati wa utotoni
Kuwa katika matatizo makubwa na mpenzi wako.
Kuishi katika mazingira magumu mfano kushare nyumba ama chumba na wazazi wako, wakwe zako ama watoto wako.
 
Back
Top Bottom