Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nashukuru kwamba sina tatizo la sukari wala presha, lakini kwa ushauri huu kitunguu swaum kinamuongezea tatizo mtu mwenye presha ya kushukaKama unatatizo la kisukari hasa wale wanaotumia sindano za insulin ulaji wa kitunguu swaum uwe kwa kiasi mana wanasema kitunguu swaumu kinashusha sukari,kwahiyo inabidi kitumike kwa tahadhari kubwa.
Pia kuna wengine wanaweza pata allergies.
Lakini kuna wale wenye presha utumiaji wa kuzidi kiasi waweza shusha presha sana.
Vilevile inaathiri ufanyaji kazi wa baadhi ya dawa kama vile za presha;kwahiyo unapotumia vitu kama hivi uwe makini na ujue afya yako vizuri.
Hivi bado kuna wapiga dili kwenye mfumo wa ukusanyaji kodi Tanzania?Kwani unafikiri wale wapiga dili wanakula hela gani?
w.salaam..karibu tenaA salaam alyekum wana uzi
Asante brow.salaam..karibu tena
Asante brow.salaam..karibu tena
Tafadhali Fanya uchunguzi tujue kama kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kikeSijawahi sikia kwakweli
Asee, lakini mkuu harufu ya vitunguu shwani nayo daa...Ni dawa ya ulcer pia