Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2. Weka pamba au kitambaa chenye uwezo wa kufyonza damu nje ya pua na bana pua kwa muda wa dakika 15 huku ukitumia mdomo kupumua, kubana pua hurudisha damu katika mishipa ya pua na kuzuia kuvuja.
 
Hivi hakuna tatizo kwenye nguvu za kike
Ndiyo. Uyabisi. Mwanamke hasisimki hata ufanyeje. Na akikupa, anakupa tu kwa faida yako wewe. Inasemekana kwenye ndoa huko ndiyo hasa tatizo hili lilikojichimbia.

Kuna article nzuri kuhusu hii ishu nikiipata nitakupa. Sababu zinazotajwa ni pamoja na wanawake kufanya kazi sana, mabadiliko ya homoni na athari za kimazingira.....
 
Nimelipata somo lake ntaliweka hapa
Ndiyo. Uyabisi. Mwanamke hasisimki hata ufanyeje. Na akikupa, anakupa tu kwa faida yako wewe. Inasemekana kwenye ndoa huko ndiyo hasa tatizo hili lilikojichimbia.

Kuna article nzuri kuhusu hii ishu nikiipata nitakupa. Sababu zinazotajwa ni pamoja na wanawake kufanya kazi sana, mabadiliko ya homoni na athari za kimazingira.....
 
Kulala chali ni hatari kwa mama mjamzito
Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),kulingana na wanasayansi.
Katika utafiti uliofanyika nchini Ghana, wanawake wajawazito ambao walipenda kulala chali wakati wa ujauzito walikuwa kwenye hatari mara tano zaidi ya kuzaa watoto wenye uzito mdogo na kwa wanawake wengine walizaa watoto wafu.
Utafiti huu ulifanyika nchini Ghana kutokana na kuwa kati ya watoto 1000 wanaozaliwa 20 hadi 50 kati yao huwa ni watoto wafu.
Hata hivyo, utafiti mpya uliofanyika nchini New Zealand pia umehusisha kulala chali kwa mwanamke mjamzito na idadi kubwa ya watoto wafu wanaozaliwa katika nchi zenye raia wenye kipato kikubwa.
 
Mkuu wa utafiti huu,Louise O’Brien kutoka chuo kikuu cha Michigan, nchini Marekani amesema kama kutokulala chali wakati wa ujauzito hupunguza uwezekano wa kuzaa mtoto mfu basi ni vizuri kuhamasisha kina mama wajawazito kutolala chali kwani hii ni njia rahisi na isiyokuwa na gharama yoyote ile.
 
Tabia hii ya kulala chali wakati wa ujauzito inaweza kuepukika kwa kuwashauri kina mama wajawazito madhara yanayopatikana kwa kulala chali.
Matokeo ya utafiti huu yanaonyesha ya kwamba zaidi ya robo ya idadi ya watoto wanaozaliwa wafu inaweza kuepukika kwa kubadilisha staili ya kulala tu kwa wanawake wajawazito.
 
Siku zote madaktari wanashauri kina mama wajawazito kulala ubavu mmoja hasa upande wa kushoto ili kuepuka kuzaa mtoto mfu au mtoto mwenye uzito mdogo kwa sababu mwanamke mjazito anapolalia ubavu wake wa kushoto huongeza mzunguko wa damu kwa kiumbe kilichomo ndani yake.
 
Back
Top Bottom