myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
siku inasonga mbele
mambo yanaenda..ila mchana huu watu wamepumzika au wanakulaJumanne inaendeleaje wakuu? Naona kuko kimya kidogo leo. Yote kwa yote tumshukuru Mungu !!!
AngaliaNini hii mkuu? Caption kidogo ingesaidia kabla mtu hajaangalia !!!
Kama ni kitu traumatic siwezi. Huwa sipendi kuona majeraha wala damu. Ndiyo maana nikauliza. Hii ndiyo sababu video zenye utata huwa zinawekewa disclaimer/warning. Siyo vizuri kuangalia kila kitu. Wakati mwingine we have to protect the mind ....Angalia