Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naviogopa sana vitunguu swaumu kwa harufu yake ingawa nashauriwa sana kuvitumia, sasa vina madhara gani kama utavitumia Mara kwa mara?
Kama unatatizo la kisukari hasa wale wanaotumia sindano za insulin ulaji wa kitunguu swaum uwe kwa kiasi mana wanasema kitunguu swaumu kinashusha sukari,kwahiyo inabidi kitumike kwa tahadhari kubwa.
Pia kuna wengine wanaweza pata allergies.
Lakini kuna wale wenye presha utumiaji wa kuzidi kiasi waweza shusha presha sana.
Vilevile inaathiri ufanyaji kazi wa baadhi ya dawa kama vile za presha;kwahiyo unapotumia vitu kama hivi uwe makini na ujue afya yako vizuri.
 
Back
Top Bottom