Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumia asali yenye mdalasini
Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 8 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Acha ndani ya bakuli kubwa ili iwe rahisi kuikoroga vizuri kila unapoitumia. Lamba vijiko vikubwa vitatu kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.

Hata baada ya mwezi mmoja kuisha bado nakushauri uendelee kuitumia asali hivi maisha yako yote au hakikisha haipiti siku bila kunywa au kula chakula chenye asali yenye mdalasini ndani yake. Unaweza kuitumia kila siku kwenye mkate kama mdabala wa siagi au blueband au ukaitumia kwenye juisi na kwenye chai kama mbadala wa sukari. Au unaweza kuweka vijiko vikubwa vitatu ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote kutwa mara 2 amabapo husaidia pia kutibu uchovu mwilini.
Sawa daktari
 
Kunywa chai ya tangawizi
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.

Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa. Unaweza ukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unaweza ukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.

Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku, katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichi uliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawizi inaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje. Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako ya tangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!
Sawa, daktari mfawidhi
 
Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, inakabiliwa na uhaba wa walimu hali inayosababisha wanafunzi kuchangishwa Sh10,000 kwa mwezi kwa ajili ya masomo ya ziada.

Miongoni mwa shule zilizoathirika zaidi ni Shule ya Msingi Miamba na Ngujini.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Miamba, Solomon Langeni alisema kuwa tayari wamepeleka malalamiko kwa idara husika lakini hakuna utekelezaji.

“Changamoto hii ni kubwa kwa sisi ambao tupo milimani lakini wenzetu ambao wapo mjini wana walimu wengi,” alisema Mwalimu Langeni.

Akizungumzia hali hiyo juzi, Mbunge wa Same Mashariki, Naghenjwa Kaboyoka (pichani) alisema wilaya hiyo ina upungufu mkubwa wa walimu wa shule za msingi na sekondari. Alisema Shule ya Msingi Miamba ina walimu watatu huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 400 na Ngujini ina walimu wawili na zaidi ya wanafunzi zaidi ya 300.
Chanzo:mwananchi
Hivi hizi kodi tunazolipa hazifiki serikalini au hazitoshi?
 
32cb18b39eab9ed86f10e0234982d7db.jpg
 
Back
Top Bottom