myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
posti na likes
SahihiKunywa chai ya tangawizi
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.
Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa. Unaweza ukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unaweza ukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.
Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku, katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichi uliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawizi inaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje. Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako ya tangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!
Amu faini carbamazepine hau du yu du!Hellooooe beibe ha wayuu
Amu gudi[emoji123][emoji123]Amu faini carbamazepine hau du yu du!
Unanyanyua vyuma mbona unaonyesha misuli?Amu gudi[emoji123][emoji123]
Yaani huo ni msisitizo kwamba leo niko vizuri sana[emoji6]Unanyanyua vyuma mbona unaonyesha misuli?
Na wewe niniNa mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaImeisha mkuu Ila dah iliniweka kwenye wakati mgumu sana japo nimevumilia aiseeeee maana ilibaki kidogo nishawishike.
Usingizini wako wa beer leo vipiYaani huo ni msisitizo kwamba leo niko vizuri sana[emoji6]
Na kwako mkuuNawatakia asubuhi njema..!!View attachment 600289
Blue MondaySalama habari ya jumatatu