carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Haya wanaume kazi kwenu[emoji38][emoji38]
Mbinu za kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hilo