Katika nchi yetuUzalendo
Nadhani hamu inakuwepo lakini ndo hivyo netiweki hakuna. Nilimuona jamaa mmoja akielezea kwenye Maury show (Alikuwa amebambikiwa mtoto and he was proven NOT to be the father!).Kwenye kisukari hapo wanaume nao ni waathirika wakubwa sana,mana moja kati ya complications za kisukari ni kukosa hamu ya tendo la ndoa wenyewe wanasema jogoo huwa hapandi mtungi[emoji87] [emoji87]
Sawa nitampa taarifa[emoji4]mie namjua mmoja tu,
Kama unao wengine itabidi umpe taarifa SYB
Amen! Kuna siku ambazo mambo karibu yote yanakwenda kivingine. Nature yetu ni kulalamika lakini ukikaa na kutafakari vizuri unaona kwamba hata katika kuparaganyika huko kwa mambo, bado kuna mema mengi ya kushukuru na kujifunza.Nashukuru Mungu japo siku hazifanani
Sijui upande wako
SadNadhani hamu inakuwepo lakini ndo hivyo netiweki hakuna. Nilimuona jamaa mmoja akielezea kwenye Maury show (Alikuwa amebambikiwa mtoto and he was proven NOT to be the father!).
Kwa nini mimi ndo nipewe taarifa wakati hata cheo cha uzee wa data alikichukua Mzee wa Liver (kama sikosei)?Sawa nitampa taarifa[emoji4]
Weeeee hujakutana na chura wewe,kukoroma si kukoroma kubweka si kubweka dhahama tupuRaha ya usingizi kukoromaaa
Poleni sanaAmen! Kuna siku ambazo mambo karibu yote yanakwenda kivingine. Nature yetu ni kulalamika lakini ukikaa na kutafakari vizuri unaona kwamba hata katika kuparaganyika huko kwa mambo, bado kuna mema mengi ya kushukuru na kujifunza.
[emoji117][emoji117][emoji117]Huku kwema kabisa shemeji. Baada ya tukio la jana kule Las Vegas, watu wananunua bunduki madukani kwa wingi ili wajilinde wakishambuliwa. Tatizo juu ya tatizo.
Sababu wewe ni shemeji,kaka wa bwana yuleKwa nini mimi ndo nipewe taarifa wakati hata cheo cha uzee wa data alikichukua Mzee wa Liver (kama sikosei)?
Weeeee hujakutana na chura wewe,kukoroma si kukoroma kubweka si kubweka dhahama tupu