Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usibanie likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna kukoroma na kukoroma. Kuna watu wanakoroma mpaka nyumba inatikisika.Raha ya usingizi kukoromaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OK. Sasa nimeelewa.Sababu wewe ni shemeji,kaka wa bwana yule
Andjul njoo! Kuna mtu anawatania Wanyakyusa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli..Raha ya usingizi kukoromaaa