Salaam,Babe s, Carba, Numbisa, Isis, Nsamaka, Jakitoo, Quigley, myoyambendi, Cole, Andjul, Ho chi minh, KK - Jembekillo, Mzee wa Liver, GeJo, Ruta, Moudgulf, Shimba ya Buyenze
Chakula halisi cha Kule makanya, kihurio, gonja,same, nk. ZAFANANA EXPRESS[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tena yaliyopikwa na Mpare kando kuna kibuyu kina maziwa ya mgando.
Halitaenda, maana hakuna zawadi ya kuku from town to village. [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukipeleka kuku kijijini utaonekana hamnazoNingependa kuona jogoo la mjini likipelekwa shamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawaaa😛Gonga like kisha agiza peps barid kwa mangi nitalipia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱😀😱😱Lazima usome kwanza, jamaa anaweza akakutusi au akaniambia nataka nikugonge, mi nikaweka likes, mi si punga!
Khe khe kheeeeeee!
Ama kweli huu uzi.kiboko yao.JAZA UJAZWEEEE.
Una ndoto mbaya[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilikuwa naota hapo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo hapo 😛mbn mimi cjapata like jamn....mkosi nn?
Sikamo ntoa udhii
Hiyo hapo 😛Nipeni na Mimi zakutosha
nikuoga likes tu
Wacha nijipatie like