myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:37
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121]Hata chapati kama inawezekana
Acha kuufundisha kazi[emoji23][emoji23]
We mwana mbona unaombea mabaya uzi wetu!!!?Natamani uzi ufutwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani alikuwa anasinzia, anaota anaombea uzi ufutwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] !!!?......
Jirani una usingizi..?
Kamwe haliwiki mjiniJogoo wa shamba..
Ana kamba mguuni[emoji3] [emoji3]Kuku mgeni..
Ningependa kuona jogoo la mjini likipelekwa shamba [emoji23][emoji23][emoji23]Kamwe haliwiki mjini
Nilikuwa naota hapo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]We mwana mbona unaombea mabaya uzi wetu!!!?
Duh !!!Kijana mwenye acc imenenepa na show A+ ni wakutafuta,tena wengi wa hivyo ujiandae kupangwa foleni
Ila kwa wazee unajua kabisa hapa nakula hela ya pension show kwa vijana
Akili za usiku hizo rafiki[emoji23][emoji23][emoji23]Jirani alikuwa anasinzia, anaota anaombea uzi ufutwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] !!!?
Zawadi nyingine ukimpa mtu hadharani zinaleta maneno[emoji3] [emoji3]Sio mpka awe tayari hiyo unampa tu
Ohoooo[emoji87] [emoji87] [emoji87]Duh !!!
Ndio mkapeane chobingo sasaZawadi nyingine ukimpa mtu hadharani zinaleta maneno[emoji3] [emoji3]
Mambo carba!!Ohoooo[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kumekuchaje huko shemeji?habari ya wewe
Poa BIGMambo carba!!