Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha aende wapiSiyo kweli. Mwanga upo kila mahali. Ondoka gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mpka awe tayari hiyo unampa tuHabari yako, nina zawadi yako nsamaka..kama upo tayari nikupatie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njema sana.
We nipatie tu ikibidi hata unikabidhi hapahapa ili na shilawadu waone[emoji12] [emoji12]
Niaje mzee wa chugaKuwa mpolee....
Anapenda ubuyu huyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatega sikio kwa mambo ya watu?
TeheteheteheUjue shilawadu wameshaanza kutega sikio!!? Huoni kama hakutakuwa na siri tena?