Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507060154385.jpg
 
Yeah! Kwenye hiyo kitu (nanilii) Mungu Alituweza wanaume...

Imagine hii: Watu wengi wanakufa na kansa ya tezi dume kwa sababu huwa hawataki kufanyiwa operesheni. Operesheni hiyo - hasa ikifanywa baada ya kansa kuwa imekuwa advanced kidogo ina uwezekano mkubwa sana wa kumuacha mgonjwa akiwa hanithi japo uwezekano wa kupona pia ni mkubwa. Kuliko kuishi kama mahanithi watu wanachagua kufa na tai shingoni....
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom