uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Siku hizi kuna vijana Show A+ na Account imenenepa. Ila sijuii mnataka nini kwa Babu zetu.Kwa wazee tunafuata hela ya pension,vijana show[emoji23][emoji23]
Siku hizi kuna vijana Show A+ na Account imenenepa. Ila sijuii mnataka nini kwa Babu zetu.Kwa wazee tunafuata hela ya pension,vijana show[emoji23][emoji23]
Tena yaliyopikwa na Mpare kando kuna kibuyu kina maziwa ya mgando.Huu uzi sijui ni makande[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kila kitu humu
Si ndio chakula cha kwenu hicho[emoji23]Tena yaliyopikwa na Mpare kando kuna kibuyu kina maziwa ya mgando.
Kijana mwenye acc imenenepa na show A+ ni wakutafuta,tena wengi wa hivyo ujiandae kupangwa foleniSiku hizi kuna vijana Show A+ na Account imenenepa. Ila sijuii mnataka nini kwa Babu zetu.
Juzi jana na leoBabe s, Carba, Numbisa, Isis, Nsamaka, Jakitoo, Quigley, myoyambendi, Cole, Andjul, Ho chi minh, KK - Jembekillo, Mzee wa Liver, GeJo, Ruta, Moudgulf, Shimba ya Buyenze
Daily never missJuzi jana na leo
Sana mkuu...twende pamojaNaona mnasongesha uzi tu
kweli..Maneno Mabaya ya Kukatisha Tamaa
“Hutaweza” ,”Hutafanikiwa” n.k yanavunja moyo kwa mwenza wako na kurudisha nyuma maendeleo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yawezekana harufu hiyo ndo tiba yenyewe ohooo !!!
Usishangae ndevu kwenye kizazi cha panya[emoji3] [emoji3]Masogange
Post za kitabibu zipo hapa