mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Geita
Mtoe Babe S maana sio single na mtoto nimemkuza mwenyewe.carbamazepine, numbisa, mamdenyi, nsamaka, jakitoo, charie neisha, babe S, na wanawake wote mliopo kwenye uzi huu, leteni usahihi wa ujumbe huu ambao huenda umetungwa na mwanaume tokana na utashi wake ama ukawa ndiyo usahihi wenyewe
I need some like......
Kama kawaida yetu mkuuUpendo wa likes
YapUrafiki wa likes
Chaliii ya AR. Mzima wewe. Kweli ulipotea au uliebda kumleta Jembekillo nini?Salama kamanda niajeee?? Kitambo lakini narudi kwa kishindo mkuu.
Dah mnalike kama mnatumia mashine
Love you all!
sawa mkuu naendelea na hiyo kazi mkuu kila post itapata like yangu kuanzia hii yako na zingine zoteSasa kutokana hukuonekana siku nyingi na ukatuachia binamu yako, mpwa wako, nduguyo wa karibu KK. Na akatuchafua sana humu ndani.
Kwa heshima tunaomba ulike kila POST humu ndani
Pokea na hiyo like yangu kwa kubali kutumikia Post zetusawa mkuu naendelea na hiyo kazi mkuu kila post itapata like yangu kuanzia hii yako na zingine zote
Nipo joooh...narudi kwa kishindo kukichafua kama zamaniii.Jembekillo atakuja mkuu usijalii.Chaliii ya AR. Mzima wewe. Kweli ulipotea au uliebda kumleta Jembekillo nini?
Salama kabisa mkuu niajeSalaam salaam, Salaam wanauzi
Salama mkuuSalaam mzee wa liver