Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Hiyo hapo 😱😛Kwani hizo likes mnalipia kodi mbona mi hamnipi..
Hiyo hapo 😱😛Kwani hizo likes mnalipia kodi mbona mi hamnipi..
Likes, likes, likesLIKES LIKES LIKES
😀😀😀😀😀😀Afadhali asee manake sikuvhizi likes zimekua ngumu kweli kweli!
😀😱😀😀Mtoa mada uzi alienda kwa mganga kuomba dawa ya biashara sasa akaambiwa nenda jamii forum kaanzishe uzi wa kijinga jinga tu halaf utaona watakvyochangia na kwel bhanaaa duh watu wanatiririka tu,,haya nipen like zangu
Na Mimi nasubir 😛Nasubir Like
🙂😳😳 Santeeeemuch thanks to mkuu Beef Lasagna for your likes and all members of this thread for your likes
haaaaa haaaa haaaaa mkuu kumbe nawe babu maana bi FaizaFoxy ni bibi yetuSitoweza kukusahau Bi FaizaFoxy
Sitoweza kusahau tulipotoka sweetheart,
Sitothubutu walau hata sekunde moja kukutoa katika kumbukumbu zangu.
Kila mara najikuta natizama picha zetu za kamera za AGIP na KONICA za wakati ulee tukiwa ufukwe wa kunduchi.
Ila pls naomba upunguze wivu ili twende sawa babe, nachukizwa na suala la kukagua simu kila mara na huwa nakuambia.
Mmmmmwaaaaa...........!
Miss u madly kipenzi...!
carbamazepine, numbisa, mamdenyi, nsamaka, jakitoo, charie neisha, babe S, na wanawake wote mliopo kwenye uzi huu, leteni usahihi wa ujumbe huu ambao huenda umetungwa na mwanaume tokana na utashi wake ama ukawa ndiyo usahihi wenyewe
Mkuu jembekillo, salaam kiongozinipo mkuu
Mapenzi hadharani...[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sitoweza kukusahau Bi FaizaFoxy
Sitoweza kusahau tulipotoka sweetheart,
Sitothubutu walau hata sekunde moja kukutoa katika kumbukumbu zangu.
Kila mara najikuta natizama picha zetu za kamera za AGIP na KONICA za wakati ulee tukiwa ufukwe wa kunduchi.
Ila pls naomba upunguze wivu ili twende sawa babe, nachukizwa na suala la kukagua simu kila mara na huwa nakuambia.
Mmmmmwaaaaa...........!
Miss u madly kipenzi...!
Ni kweli, lakini ndiyo hivyo, chako ni chako tu. Huwezi jivunia cha watu. Tupambane na hali yetu kwenye taifa letuNchi ya TZ ngumu sana hii.