Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9. Una huruma sana kuliko kipato chako. Yaani kila ukiobwa unatoa hata kama muombaji hana shida ya muhimu. Usiwe mkristo kuliko yesu. Fanya hivyo kama ni lazima. Ila sio kila anaekupiga mzinga unapigika.
10. Unatembea na hela nyingi kwenye wallet au mshahara wote kwenye wallet au nyumbani kwako. Unapokua na petty cash nyingi unatengeneza mazingira ya kutumia hovyo. Jifunze kuweka hela benki. Tembea na hela tu unayoihitaji kwa matumizi ya lazima.
 
475bdb2f146a544e5ee7068c7668226c.jpg
 
Back
Top Bottom