Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Indian accent is visible
Alikuponyoka kwa kuwa ulitaka kumpeleka wapi mkuu?Hiyo sio ajabu
Mimi mwenyewe niliwahi kusafiri na Mende kutoka Ubungo- Gongo la Mboto lakini aliniponyoka ndani ya gari mchana kweupe watu wakawa wananishangaa.
Mimi nikasema wanashangaa specimen sijui walisomea chini ya mti!!
Habari yako jirani mpenziPoa,kwema lkn?
Ndio[emoji2] [emoji2]Nini wewe[emoji23]
Acha kunichonganisha na rafiki yangu mpenziNsamaka karibu mama. Muoudgulf alikuwa analeta shida hapa
Shemejiiiiii !!!!!Nakaribia kufanya maamuzi magumu kwakweli,usicheze mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]