Mkuu Numbisa nachukua nafasi hii kukushukuru sana.. Yamkini ningeku Pm lakini siandiki dhambi, hivyo hapa panafaa, ingawa ni uzi maalumu tunaandika chochote na kupewa like bila choyo kuna mambo uliandika yalinigusa sana sana.. Na nilijifunza, nimechukua uamuzi mzuri nayafanyia kazi maandiko yako nitareta mrejesho after two months na nitasema ni mambo gani umenifunza.. Stay blessed mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.