Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ila sidhani kama itawezekana
Karibu..Kwakweli, bora humu ndani hakuna figisu figisu, ni burudani tu na full love.
Thanks malkia wa manyoka nyoka na 0wlWelcome back
Na UNIVERSE!Thanks malkia wa manyoka nyoka na 0wl
Jiji la raga na karahaNice city
Ukilost lazima umtafute mtu wa kukupa movement kinguvuView attachment 529957
TID MNYAMA ATANGAZA KUMUWEKA JELA QUICK ROCKA. .NI BAADA YA KUIBIWA WIMBO WA "WATASEMA SANA" . kupitia ukurasa wake wa Instagram Tid ametoa mapovuuu Kwa kuyaandika Haya. BY @tidmusic - Wat is this....?! Hivi ndio mnapata Magari yenu!? @quickrocka & @omgtanzania we need to TALK [HASHTAG]#Watasema[/HASHTAG] Naomba tukutane Central Police huwezi kutumia Haki zangu hivihivi Kabla sijafanya kitu kibaya nahitaji million 20 compensation... This song ni Awards mbili Za Kisima Music Awards 2005 inKenya u can't just Steal it, Unalala Ndani Leo . . . JE UNAZUNGUMZIAJE MAAMUZI HAYA YA TID?? NI SAWA AU ASAMEHE???
Miungu ya misri hii aiseeNa UNIVERSE!
Speed..Ni mwendo mdundo
Gonga nyundo kiongoziLike tena
NipoGejo
una kasi kwa kweli
Gongs likesWakuu nipo, mwendo kugongeana
"Henekeni"
JF nomaaaaaa!!!!!!! Kila kitu kinapatikana huku,sasa LIKE ndo funga!!!!!Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki [emoji38][emoji38]
Nimewah namba za like leo