Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sifui kwa mkono. Naenda kuzitupia kwenye mimashine huko zinyonywe rangi wee halafu zikunjamaneeee mpaka ukiziona grants yote inakuisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaaaaaa
 
Rafiki unahitaji watu ili ufanikiwe. Kama unafanya biashara unahitaji watu( wateja wako na wafanyakazi wako kama unao). Kama unafanya kazi unahitaji watu ( bosi wako na wafanyakazi). Unahitaji amani unaporudi nyumbani. Unahitaji marafiki watakao endana na wewe na wakukusaidia na kukufariji kipindi unapokuwa na shida.
 
Rafiki jaribu kufikiria dunia hii ungekuwa peke yako ingekuwaje. Ukweli ni kwamba binadamu tumeumbwa kwa kutegemeana. Kuna vitu viko ndani yako kwa ajili ya wengine, pia kuna vitu unahitaji kutoka kwa wengine. Rafiki unahitaji kupendwa, unahitaji kufarijiwa, unahitaji kuthaminiwa, unahitaji kusikilizwa. Yote haya bila watu huwezi kuyapata.
 
Back
Top Bottom