Wakati unaendelea kugonga likes pia endelea kudondosha post zako
Hapa pia pana mkulima wa mapalachichi ana wife wake huyooo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106]
Hapa pana mwanafunzi wa ugaidi ana mke bomba huyoo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapa ukimpenda mvulana sema naye tu hata kama ana wife[emoji3] [emoji3] ukimpenda mke wa mtu shauri yako[emoji3] [emoji3] watu wasiojulikani wapo hapa[emoji3] [emoji3]
Acha maneno gonga likes, unaweza kunigusa mi mwenyewe mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nitumie namba ya wife wake. Nataka maparachichi.
Acha maneno gonga likes, unaweza kunigusa mi mwenyewe mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]