Ohoooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukinikimbia kwa vidogo vidogo itaniuma kweli yaani siwezi kuelezea
yaani kwa misifa hiyo anizid mimi cheusi mangara unautani shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana naupenda uzi huu. Tunataniana na kucheka. Misifa mhhh...Nina kauandishi andishi hivi na naweza kumpamba mtu wee kumbe wa kawaida tu. Naamini hakufikii wewe shemeji !!!
Mara paaap!umemkumbuka jojina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati usingizi nikikumba tulivyo ishi mi nawe jojina [emoji444][emoji445][emoji443][emoji441]
Siku uliondoka uliniacha nalia na majonzi [emoji444][emoji445][emoji443]
Nimejikuta natamani kuuliza maswali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalau wewe shida yako kuu inaeleweka...ipielooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu toa jojina weka carba tuone vyenye ita sound[emoji38][emoji38][emoji38][emoji125] [emoji125] [emoji125]Jojina jojina umeondoka jojina umeniachia masikitiko
Kuna wakati fulani binadamu anakosea..
We si unajua unashikilia asilimia 65 ya maisha yangu fresh TuMara paaap!umemkumbuka jojina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kusema vile tu ushaanza kuimba kabisa
Ronaldo delima