myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
upendo na ukarimu wetu
toa nawe utapataUna "likes" nyingi aisee,
355,000+ duh,
Npunguzie basi naomba
ShindwaaaaWe utabaki tukuyu me notaenda naye dodoma sawa bi mkubwa??
Mnhh, wala hakuna tatizo hahahahTahadhari??? Kwanini kuna matatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Loh, jamani fujo gani tena? Na kweli mmetoka mbali toka enzi za kutaka kuvunja zizi umuibe unadhani mchezo hahahahKweli tumetoka mbali[emoji6] huyu nsamaka ndio analeta fujo.
Kbs yaan maana hata mm wakati naumwa Carba alikuwa ananipondea balaa humu.Marafiki wa aina hii wamebaki wachache sana,na ukibahatika kumpata mshikilie
Mwambie aongee na ww kwa herufi kubwa, sasa hv atapata hata pair 10 za viatu.[emoji6] [emoji6] [emoji6] tatizo unajifanya mgumu mno wakati mrembo kupitiliza.
Ongeza tugawane
Huyo mwanamke ameolewa?