Kwema Sana Kiongozi...Hii movie naenda kuirudia jioni ya leo.Muvi nzuri sana. Kwema mkuu?
Ni muvi nzuri kwa kweli. Tunaona tu maroketi yanakwenda juu kumbe watu wameteseka na kuteswa sana - halafu wakasahaulika. Taraji kacheza vizuri.Kwema Sana Kiongozi...Hii movie naenda kuirudia jioni ya leo.
Ubinafsi tu. Kawaida ya binadamu...KAMA HUTOI LIKES KWANINI UPOSTI??
Ana jicho zuri. Akitafuna kungu huyu patachimbika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]