Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh ndo kwanza nauona huu uzi wa likes..

Dah likes zimenipitaa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Naombeni likes ili twende pamoja
Vigezo na masharti kuzingatiwa, tupia post, kisha mwaga likes kwa post uzionazo, ikibidi rudi hata kurasa chache nyuma ugonge likes ,endelea kutupia post na tutazimwagia likes za kishindo. Twende sasa
 
Je unalifahamu jengo la Burj Khalifa lililoko Dubai? Burj Khalifa ni jengo refu zaidi duniani linalodhihirisha uwezo mkubwa wa wahandisi majengo wa karne ya 21. Unapozungumzia urefu wake au kutazama muundo wake, ni hakika jengo hili litakushangaza; jengo hili liligharimu takriban dola biioni 1.5 za Kimarekani kulijenga. Pamoja na kuwa ni jengo refu zaidi duniani, jengo hili limevunja rekodi nyingine kadha wa kadha zilizokuwa zimewekwa na majengo mengine.
 
mambo 20 usiyoyajua kuhusu jengo hili la Burj Khalifa.

Burj Khalifa ni jengo refu zaidi lililotengenezwa na binadamu duniani, lina urefu wa futi 2,723 au mita 829.8 kutoka kwenye kilele chake hadi ardhini. Hivyo kulifanya jengo hili kuwa refu zaidi huko Dubai, Umojoa wa falme za Kiarabu, Mashariki ya Kati na Duniani. Jengo hili ni refu mara 3 kuliko mnara wa Eiffel huko Ufaransa na mara mbili zaidi kuliko Dola State Building.
 
Eneo lake la kutazamia mandhari (observatory deck) liko kwenye muinuko wa futi 1483 au mita 452.1 kutoka chini. Hili ni eneo ambalo watu husimama na kutazama mji au mazingira kwa chini. Hii ni kusema kuwa eneo hili liko kwenye mwinuko wa umbali wa takriban urefu wa viwanja vinne na nusu vya mpira wa miguu.
 
Jengo hili limeshikilia rekodi mbalimbali za dunia kama vile “jengo refu zaidi duniani”, “jengo lenye lifti inayosafiri kwa kasi na kwa urefu mkubwa zaidi”, “eneo la kutazamia lililoko juu zaidi (observatory deck)” na “jengo linalokaliwa na watu wengi zaidi”. Hata hivyo rekodi ya eneo la kutazamia lililoko juu zaidi imeshachukuliwa na jengo la Canton Tower lililofunguliwa mwaka 2011.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…