Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Naamini umewahi kusikia mengi kuhusu dhahabu, lakini sasa fuatilia makala hii nikufahamishe mambo 20 yakushangaza kuhusu dhahabu.
Naamini umewahi kusikia mengi kuhusu dhahabu, lakini sasa fuatilia makala hii nikufahamishe mambo 20 yakushangaza kuhusu dhahabu.
Katika tani moja ya simu za mkononi unaweza kupata dhahabu nyingi zaidi kuliko ambayo ungeipata kutoka kwenye gwangala la dhahabu (gold ore).
Dhahabu ni madini yanayopatikana kwenye kila bara duniani.
Je unafahamu kuwa kuna aina ya dhahabu inayoweza kuliwa? Ipo aina ya dhahabu laini ambayo inaweza kuliwa.
Wafungwa wa China hulazimishwa kuchimba dhahabu kwa ajili ya shughuli za kijeshi.
Kampuni ya kutengeneza midoli ya plastiki ya LEGO hutoa dhahabu gramu 25.65 kwa wafanyakazi waliotimiza miaka 25 ya utumishi katika kampuni hiyo.
Some people will use Toothpick after drinking Tea. Just To Confuse Their Enemies
kweli..Habari picha za misambwanda, loohwapi SHIMBA YA BUYENZE![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]*Tanzania ndo nchi pekee ambayo wanandoa watapanda jeep au range siku ya harusi yao..Halafu baada ya week mbili utawaona makumbusho* *wanagombania daladala*
Duu pole jirani yanguNipo jirani rafiki mambo yamebana kidogo