Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23a1958960ab158f0f69e437c591c3ae.jpg
 
Ahsante sana Kiongozi wangu.

Naomba uniwie Radhi.

Jana sikufika huku kote, niliishia kati kati ya Safari.

Ndio maana sikuitikia Salamu yako.

Mimi nazingatia sana, na naheshimu sana pale Mtu atakapotaka kunijulia Hali.

Kiongozi kwa mara nyingine tena.

Ahsante sana
Pamoja mkuu usihofu tupo pamoja nami uwa napitia post zote hata kama Siku Mbili kuna mengi ya kujifunza humu sipendi kupitwa
 
Imo ndani ya ROMEO MUST DIE Soundtrack.

Ninayo CD yake (ROMEO MUST DIE) Soundtrack.

Vibao vyote vya mle vikali.

Ikiwemo Are you feelin' me ya Aaliyah.

Huwa siichoki Filamu hii (ROMEO MUST DIE) na huwa siichoki Soundtrack ya Filamu hii.

Vibao vyote ni Bomba
Kabisa mkuu kipaji kiliondoka mapema sana
 
Back
Top Bottom