Habari za jioni kongenajazia mkuu
Asante kwa taarifa mkuuHAVOC ni Mashine nyingine.
Halafu uondokaji (Mistari) wake ni wa kipekee.
Jamaa ana Asili ya Ghana.
Babu yake ni Mghana
Pamoja mkuu niajeSalama Kiongozi wangu
Pamoja mkuu usihofu tupo pamoja nami uwa napitia post zote hata kama Siku Mbili kuna mengi ya kujifunza humu sipendi kupitwaAhsante sana Kiongozi wangu.
Naomba uniwie Radhi.
Jana sikufika huku kote, niliishia kati kati ya Safari.
Ndio maana sikuitikia Salamu yako.
Mimi nazingatia sana, na naheshimu sana pale Mtu atakapotaka kunijulia Hali.
Kiongozi kwa mara nyingine tena.
Ahsante sana
Kabisa mkuu kipaji kiliondoka mapema sanaImo ndani ya ROMEO MUST DIE Soundtrack.
Ninayo CD yake (ROMEO MUST DIE) Soundtrack.
Vibao vyote vya mle vikali.
Ikiwemo Are you feelin' me ya Aaliyah.
Huwa siichoki Filamu hii (ROMEO MUST DIE) na huwa siichoki Soundtrack ya Filamu hii.
Vibao vyote ni Bomba
RipAaliyah
Hahahahaha safi sana