Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Achievemephobia – Hii ni hofu ya kuogopa mafanikio. Je unaogopa kufanikiwa? Je unafikiri ukifanikiwa utaibiwa? Ikiwa jibu ni ndiyo basi una Achievemephobia.
 
Photophobia – Hii ni hofu ya kuogopa mwanga; mara nyingi husababishwa na matatizo ya kiafya ya macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…